andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Heheh,😂😂😂😂
nasahau vipi sasa busta?
Hata Mimi sinywi na sijawahi kunywa
Ila nimeona Mara nyingi zikipikwa hivyo huko ileje
Tutajipanga vyema shem [emoji3][emoji3]Ndio nikija home mjipange sasa [emoji3]
Kabisa tahadhari lazima itolewe maana la sivyo wengine watalala njaa [emoji23][emoji23]Huyu Ni wale malegend ambao wakitangulia kupakua chakula wanaambiwa wenzio bado hawajakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani 😀
😂😂😂
Heheh! 😂Heheh,
😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa tahadhari lazima itolewe maana la sivyo wengine watalala njaa [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Handakini tena mpendwa?Marashi yatoke wapi mpendwa nipo kwenye Handaki huku Kwedikwanzu nimejificha.