Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Antoine Griezmann - Euro 104,000 kwa wiki

Iliripotiwa wakati Antoine Griezmann alipotua kukipiga Barcelona akitokea Atletico Madrid analipwa mshahara wa Euro 18 milioni kwa mwaka na kiwango hicho kikivunjwavunjwa kwa wiki analipwa Euro 346,000. Baada ya makato ya asilimia 70, staa huyo wa Ufaransa atakuwa akilipwa Euro 104,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…