Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwalimu wa Kiswahili yupo ila huwa haingii uzi huu.
Nenda jukwaa la siasa kosea kuandika uone atakavyokushukia[emoji23][emoji23]
Hivi hapa hakuna mwal wa kiswahili? Hilo neno uwa linachanganya sana....
Uzurulaji
Uzururaji
Uzuluraji
Which is which? Mostly naona likiandikwa uzuluraji, wengine uzururaji(kuzurura)

Sent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…