Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
#ifyouknowyouknow πππππ
Sawaππππ
Worry out
not fairπ#ifyouknowyouknow π
Everything is fair in love and war π€not fairπ
Poa poaKuna fala hapa kanichekesha sana jinsi anajimaliza kizembe, ngoja nashare
Wewe ndiye uliyenitupa
Hunitembelei kabisa Hadi nawaza pengine nimekukosea kitu
Salama salimini bro.
Bado hajanipa[emoji23][emoji23][emoji23]Umeshapeana picha na anko,
Maana sioni ukisumbuana naye kuhusu picha[emoji23][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Undertaker
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui na mimi niige hii
#thanksfortheidea
Undertaker
Huyu jamaa alikuwa ananiogopesha Sana..
Ila Kuna muda Naye walikuwa wanamuotea wanatandika hasa Hadi style yake ya kuzima taa inavepa siku akipigwa uwanja unakuwa na mwanga kweupe pee
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tulia hiyo haikuhusu usije kufa kwa tumbo kujaa gesi bure πMambo hayo
Ngoja namimi nijipange pambeni mwa jamaa na ile ya kuleta nzi
Sent using Jamii Forums mobile app