Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umaga alifariki.
Ila mara nyingi taa zinazimwa anapoingia Undertaker lakini pambano likiendelea huwa hawazimi UmagaView attachment 1421097

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Umaga alikuwa hatari huyu jamaa
Anaweza akakutoa roho unaona

Ila undertaker nahisi Ni mchawi huyu jamaa

Kulikuwa na lile li bonge(big show)

Kuna jamaa fulani alikuwaga na kiuno kimepigwa pasi Kama mbao
Alikuwa anatandika makofi watu

Kwa miaka hii sifwatilii Tena huu mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…