Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Great Khali
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kizazi cha WCW ulikuwa haujazaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ankoo nilikuwa sijazaliwa sijui nilikuwa mdogo.
Mimi nimeangalia WWE kwenye ITV..enzi hizo walikuwa wanarusha kila j mosi
Miaka ya elfu mbili Hadi 2009 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia ya mieleka kutoka Florida Solofa Fatu jr.
Aka Rikishi
 
Ni kweli hata hivyo una kumbukumbu nzuri.
Maana hata Umaga alifariki 2009
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ankoo nilikuwa sijazaliwa sijui nilikuwa mdogo.
Mimi nimeangalia WWE kwenye ITV..enzi hizo walikuwa wanarusha kila j mosi
Miaka ya elfu mbili Hadi 2009 hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…