moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu Great Khali ??
Huyu Great Khali ??
King Davet na Saint Anne ??
Hivi alieanzisha huu uzi alikua mpweke sana au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanakupa hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano.Hivi matibabu gani wanatoa mpaka mtu anapona? Au wanakupa tu hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano kati ya Seli hai nyeupe na Virusi [emoji3]
Wakishua unaogopa 😀😀Huyu mdudu simpendi
Ulitoa chozi ulivyoangalia?Hii movie ina mixed feelings sana
[emoji16][emoji16]Ulitoa chozi ulivyoangalia?
Sawa
Mrembo kama wewe
Hapana sio mremboMrembo kama wewe
Aisee unawezaje mpendwa maana mimi nikimuangalia tu najihisi kutapika