Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi matibabu gani wanatoa mpaka mtu anapona? Au wanakupa tu hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano kati ya Seli hai nyeupe na Virusi [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti wanakupa hospital ufanye ndio uwanja wa mapambano.

Wanakutibu na unachokuja nacho,kama ni mafua,kikohozi,homa na dalili nyingine.
Si unajua huu ugonjwa kama ukimwi tu hauna tiba?
Nimejizuia nisicheke Ila nimeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…