Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aaghaa🤮! Hiyo ndio balaa zaidi bora abaki ndani ya jumba lakeNilidhani ni mimi peke yangu hasa akitoa kichwa chake nje.
Hiyo ni ile Socco
😃😃😃 kimekuchekesha nini sasa?Nimejizuia nisicheke Ila nimeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvua tangu asubuhi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]Hiyo ya Akon nitakutumia ila hizo zilizopotea utazipata humo humo maana simu yako kubwa [emoji3]
😀😀😀😀😀Hivi kile kichwa chake kuna vinyama viwili vimesimama ni masikio au ni nini?Aaghaa🤮! Hiyo ndio balaa zaidi bora abaki ndani ya jumba lake
[emoji2296][emoji2296]jirani, imebidi nitoke nje kuangalia nyota[emoji2088][emoji2088]
Huo siujui[emoji1751]Hiyo ni ile Socco
Lisonko lina upendo sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Throat sanitizer[emoji23][emoji23]
ankoo
Gavana wa Nairobi, Mike Sonko agawa Pombe aina ya Hennessy akidai ni ‘Vitakasa Koo’ - JamiiForums
Chizi sana Wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2] kimekuchekesha nini sasa?
Aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika huko mbele watu wangejitokeza na kujipiga vifua, tatizo ni kwamba huu mfupa ni mgumu bado unamsumbua Fisi sasa Mbuzi anaweza vipi?Yalikuwa maono ya kutafuta mtaji kisia... Yangetimia ungeona shamrashamra zake huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app