Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah KD kakoma kuuliza ovyo

Huwa naangalia vikorea na wanabaridi balaa sema wenzetu wana maendeleo so wameweka mfumo wa heater kama feni vile ukitaka joto unabonyeza sehemu na kuweka kiwango chako ukitaka baridi hivyo hivyo
 
Pamoja na mabadiliko mbalimbali kwenye utamaduni wa Vietnam, bado maeneo mengi hasa ya vijijini hayakubaliani na swala la kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani. Unaweza usilishuhudie hili hadi pale utakapotoka nje ya miji mikubwa kama vile Hanoi na Saigon.
 
Kwa kupitia tovuti ya Egyptian Streets, mwanadada Farah anaeleza jinsi alivyokutana na wakati mgumu kumkumbatia au kumbusu mpenzi wake wa Misri waliekutana huko Ulaya.

Ni wazi kuwa kanuni za Misri haziruhusu kuonyesha hisia za kimapenzi hadharani.
 
Huku uswahilini tunatoa wapi vileta joto?
Huwa sioni kazi ya friji miaka nenda miaka rudi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo hapo, ila ule mkondo hivi sasa umepanuka.
Na hili la leo ni mara ya tatu kuonekana mamba eneo hilo.
Mara ya kwanza alionekana mwanzoni mwa 2018, aliuwawa na askari wa wanyamapori, baada ya miezi miwili akaonekana mwingine.
Na hii leo ameonekana mwingine wakati nikipita kwenye eneo hilo.
Inadaiwa analetwa hapo na mkondo wa maji unaotokea misitu ya Kazimzumbwi Kisarawe
Mkuu,huu si ndio kimto kimepita karibu na kile kiwanda cha nguo au karibu na njia panda ya Kijichi? Mamba wametokea wapi ikiwa kinamwaga maji baharini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa unajishauri kuoga...
Kwamba leo unatenda hivi [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!

Hapana itabidi nioge ya moto tu kwakweli
Wakishua acha hizo mimi nimetoka kuoga ya baridiiiiii
Baada ya dakika kumi na tano umeisha oga tena ya baridiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wote wawili hamuogi leo.
Majuzi Khantwe nae aligoma kuoga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…