moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wapendwa kesho nayo ni siku, Mungu atuepushie na Maradhi.
Atupe afya njema.inshaalah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi ni nani sasa hadi niendelee kuhoji....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni wewe na Esta, hicho kiungo ndio kisababishe mbegu moja ya "mhindi" ifanyaje?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Soledad
Kero sana. Wapenda movie tunateseka mno.Hiyo hasara niliipata juzi imagine tangu sa6 hadi sa10 nime download ep6 halafu nilikuwa na bad mood sasa tangu asubuh
Daah! Ilikuwa moment mbaya sana mana watu walikuwa wengi humu ndani ilibidi hadi bro Moud nae aliingilie kati kumwambia akaushe kuniuza
Nimemwona 😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wimbo wa akanana kaile Kona - JamiiForums
Bradha kuna comment ya mpare imenichekesha
Muda wa vya bureee huoo unawadia[emoji126][emoji126]
Mungu atupe afya na uzima
Wote mtakaotoa like,kesho mnapata Barakoa
Corona ni hatari
=Solitudehivi hili neno huwa lina maana gani ? nimetafuta sana nimekosa
mwanzo nilidhani ni jina tu walitumia westlife lakini badae nikahisi lina maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu bro sema ugeni wake ulikua unachangia sanaSikuipeda ile biashara yake
Naona na leo net inanifanyia mazingaombwe hapa[emoji26][emoji26]Kero sana. Wapenda movie tunateseka mno.