Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Sana.Jamaa wanatrend hao
😁 nyumba imeanza kujengwa bila msingi..halafu baadae wanazungushia safii utafikiri msingi. Mvua kama hizi zikinyesha unajikuta unaelea
😂😂😂😂😂 Tayari kwa kubeba marehemu!Nani kaona?View attachment 1423767
Aisee huyu si anazurura ktk mabaa huyu! Atakuwa ameacha bonge la mnyororoDuh watu wanajitangaza wenyeweView attachment 1423768
Uwiiii.. zinatakiwa zichomwe moto jamani.. halafu hata wenyewe hawajajikinga!
Sana tuAisee huyu si anazurura ktk mabaa huyu! Atakuwa ameacha bonge la mnyororo
Hatari kabisaUwiiii.. zinatakiwa zichomwe moto jamani.. halafu hata wenyewe hawajajikinga!