myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hayo maneno sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nimecheka kiukweli ankoo ahsante sana kwa kujali.!
the only problem with me ni kuwa nikijua tu napendwa huwa naanza kuringa.! Hapa naweza nikaringa kiasi kwamba kesho nikakupita bila hata kukusalimia.!!
Nakupenda muno muno pia anko angu.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] huishi kujitetea anko, sawa bwana umeshinda
[emoji23][emoji23] anko wangu unavyonipenda hiyo nguvu ya kunipiga unaitoa wapi kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku fimbo zitakuangukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshinda[emoji120][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] anko wangu unavyonipenda hiyo nguvu ya kunipiga unaitoa wapi kwa mfano
ππ
Anko umepika tayari?! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji13]
Ukuje tukule sasa.!!
π πAnko umepika tayari?! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja nikuje mbio za mshale wa kimakonde...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa tuliozoea huwa napika huku nachat,nakula huku nachati.nakaanga samaki huku nachatiImagine napika tu hata sijamaliza mambo yamejaa, mpaka huwa nakata tamaa jamani.! Maana naachwa kila Leo.!
π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa tuliozoea huwa napika huku nachat,nakula huku nachati.nakaanga samaki huku nachati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mtaalam utaweza just imagine kuna ugomvi mwingine huwa najibu huku nachapa kazi iwe kufua etc lakin hunikosi kwenye kureply fasterπ π
Nichat huku nakaanga samaki?? Mimi huyu??? Nitatokosa simu kwenye mifuta ya moto jamani..!
Kwa akili zipi???
π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa mtaalam utaweza just imagine kuna ugomvi mwingine huwa najibu huku nachapa kazi iwe kufua etc lakin hunikosi kwenye kureply faster
[emoji28] [emoji28]
Imagine tayari..!! Na nilikatazwa kula while nagusa simu ankoo, it ain't table manner basii tu hivii vichwa vigumu..!!
Here waiting, ole wako usikuje ankoo..!!
Hao ndio Anko zangu niwajuavyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa tuliozoea huwa napika huku nachat,nakula huku nachati.nakaanga samaki huku nachati