Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
the bad thing is, hata hatuwaoni vizuri wakaka wahenshamu sahii imagine.!Oohh that's good, wengine tupo tupo tu.
By the way naomba umfikishie salamu zangu cute b, muambie hata kama ndiyo kujitenga na mitandao basi asitususe hivyo.
Hahaha eti hatuwaoni wakaka wahenshamu, sasa dada hauoni kuwa ndiyo vizuri tunakuwa tumeepukana na mambo mengi.the bad thing is, hata hatuwaoni vizuri wakaka wahenshamu sahii imagine.!
Hizo zimefika zote, halianguki hata neno moja hapo.!!