Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadae natoa povu kwa mnaowekeana picha mnaboa kishenzi mkiona mtu mwingine kafika mnakereka utadhan huu uzi ni wa selfie. Sipendi unafiki
Hahah!!

Kuna watu madirishani πŸ˜€
Ooh! Kuna mtu kishakuja πŸ˜€
Watu wamejaa πŸ˜€ N.K

Mwanyewe nilishawazaga hizi kauli zitakuwa zinakera wadau wengine ambao hawapo kwenye hiyo tasnia.

#Noted
 
Hahah!!

Kuna watu madirishani πŸ˜€
Ooh! Kuna mtu kishakuja πŸ˜€
Watu wamejaa πŸ˜€ N.K

Mwanyewe nilishawazaga hizi kauli zitakuwa zinakera wadau wengine ambao hawapo kwenye hiyo tasnia.

#Noted
Muda mrefu sana nilikua nawavutia pumzi yaan hizi kauli zinakera jamani ,saa nyingine zinaleta simanzi unajiuliza je mie ni kero hapa,maana kuna muda upo kwenye mudi ya kuchati kumbe wengine wanasubiria uondoke wapate picha au unaamka usiku ukiingia hapa inaonekana umevizia picha,enzi hizo bro don ataona umeamka na kukusihi ukalale bado usiku.

Jpili asubhi nilijisikia vibaya mno mno maana sikuja kuvizia na sikujua wanapeana picha nilipofika tu nikaanzia page ya mwisho kumwaga likes
 
Jamani haya maneno yako yamenisikitisha sana. Daah! πŸ˜€

Lile bango lako la jana kuna watu nimeona walilifurahia kweli mpaka wakaongelea card za uanachama, ila umesomeka na imeisha kibingwa kama hivi

#imeishahiyo
 
Okay KD andaa card maana wanachama ni wengi sema hawafahamu pa kuzipatia[emoji2][emoji2]

#pichawekeaneni
#ilamvumilieuwepowetu
Jamani haya maneno yako yamenisikitisha sana. Daah! πŸ˜€

Lile bango lako la jana kuna watu nimeona walilifurahia kweli mpaka wakaongelea card za uanachama, ila umesomeka na imeisha kibingwa kama hivi

#imeishahiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…