Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππππWakishua hapo mbele akina sie tumejaza kabati kubwa la vyombo vya udongo"vya wageni"na kativiii kamekaa kati kati pemben tumeweka friji ukutani aiseee tumejaza picha balaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]πππππ
Wewe wakishua embu nenda kaangalie TV ya chumbani kwako hapa sebleni muache mdogo wako aangalie Cartoon zake
Weweeee.... Soma tafiti za binti mpole [emoji16][emoji16][emoji16]Ile ekseli shiti jana kumbe ilikua ni ya mavuno ya kitunguu maji[emoji3][emoji3][emoji3]
Jamani!!!