Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Yaani kama hujaona itakua umenipiga tukio la pili.Kumbe Anne ni Mnyaki kile kiuno nimeamini
#Ilepichanasubiri
Kwema, aje mkuu?Hamjambo
😂😂😂
Umeanza lini uwongo mpendwa aisee nimechukiaaaa☹️☹️Yaani kama hujaona itakua umenipiga tukio la pili.
Huku mambo ni yale yale tu ya kawaida.. Lakini kwangu niko mzima huku nukifuata sheria.Kwema, aje mkuu?
Muulize Haifunguki , alilike.Umeanza lini uwongo mpendwa aisee nimechukiaaaa☹☹
Safi mkuu, tahadhari ni muhimu.Huku mambo ni yale yale tu ya kawaida.. Lakini kwangu niko mzima huku nukifuata sheria.
Tukijipanga vilivyo na yeye Mungu atatulinda kutokana na haya mambo ya wachinaMungu atupe afya na uzima...
Tuyashinde maambukizi
Basi mimi Sin uwezo kubembeleza kama Saint Anne 🚶♀️Muulize Haifunguki , alilike.
Ni kweli aliweka raba amevaa jeansBasi mimi Sin uwezo kubembeleza kama Saint Anne 🚶♀️
Siamini UliscreenshotNi kweli aliweka raba amevaa jeans
Hiyo ni lazima kila mtu aivalie akitembea na kawaida unajua kuna watu wenye ni vichwa ngumu. Huku ukipatikana bila barakoa, ni viboko na unakuwa quarantined person.Safi mkuu, tahadhari ni muhimu.
Unavaa barakoa lakini?
Niaje mkuu.. Vipi mambo?
Hatari sana.Hiyo ni lazima kila mtu aivalie akitembea na kawaida unajua kuna watu wenye ni vichwa ngumu. Huku ukipatikana bila barakoa, ni viboko na unakuwa quarantined person.
Hata sijui kwanini 🤦♂️Kwanini injured ? 🤠
Mambo poa sana mkuu, vipi za siku mbili tatu?Niaje mkuu.. Vipi mambo?
Data ya Jamaica iko hapaVipi cases za COVID 19 huko Jamaica?
Niko swafi mkuu.. ni biashara imefanya nikuwe busy kiasi lakini nilikuwa nawachungulia tu. Otherwise sina ubaya wowote.Mambo poa sana mkuu, vipi za siku mbili tatu?
Dah! Ile kitu kumbe haisaidii?Data ya Jamaica iko hapa View attachment 1425986
Tupo pamoja mkuu, lakini biashara zinaendaje huko ukizingatia hii hali tuliyonayo?Niko swafi mkuu.. ni biashara imefanya nikuwe busy kiasi lakini nilikuwa nawachungulia tu. Otherwise sina ubaya wowote.