Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Wanatulazimisha kuivalia na ni wao tu walikubalisha watu kutoka pande na pande za ulimwengu waingie inchini.Hatari sana.
Kumbe ndio maana wahenga wetu leo wamepotea
Kwanza inasemekana kuwa wavutaji WA hiyo kitu wako hatarini sana. Lakini mimi sijakubaliana na wao.Dah! Ile kitu kumbe haisaidii?
Hiyo taarifa ni yakipuuzi na inatakiwa kupuuzwa, kwanza ni nani walisema hiyo?Kwanza inasemekana kuwa wavutaji WA hiyo kitu wako hatarini sana. Lakini mimi sijakubaliana na wao.
Oooh pole. Kuna kipindi niliombwa na mwenyewe kuifunga basi ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima na kutojikosesha utamu, nilitii na kuifunga. Nitakufungulia bro [emoji16][emoji16]Mungu ni Mwema sana bro nimejaribu kutuma pm kwako imegoma
Biashara huku zinafunguliwa kama kawaida lakini kupata customers ni Fifty fifty.Tupo pamoja mkuu, lakini biashara zinaendaje huko ukizingatia hii hali tuliyonayo?
π π π π π Shetani aliwatembelea hapo
Slayqueens wanazipaka rangi
Kawaida ya wazungu ni kupingana na ukweliHiyo taarifa ni yakipuuzi na inatakiwa kupuuzwa, kwanza ni nani walisema hiyo?
Mambo yamekuwa magumu sana sasa hiviBiashara huku zinafunguliwa kama kawaida lakini kupata customers ni Fifty fifty.
Hawa jamaa wanapata tabu kila leoπ π π π π Shetani aliwatembelea hapo
Sana Sana especially kwa wale wa wafanyi kazi wa kulipwa kila siku.Mambo yamekuwa magumu sana sasa hivi