moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mkisikia Ummy anatangaza kifo cha korona cha mwanamke mwenye miaka 51 mkazi wa Dar mjue ni mimi hapa
Tofauti za water density, temperature, currents na salinity bila shaka zinachangia hali hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkisikia Ummy anatangaza kifo cha korona cha mwanamke mwenye miaka 51 mkazi wa Dar mjue ni mimi hapa