Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
We fanya tu utani .....Mkisikia Ummy anatangaza kifo cha korona cha mwanamke mwenye miaka 51 mkazi wa Dar mjue ni mimi hapa
We fanya tu utani .....Mkisikia Ummy anatangaza kifo cha korona cha mwanamke mwenye miaka 51 mkazi wa Dar mjue ni mimi hapa
😅 😅Marahaba Anko. Najivunia kilimo cha vitunguu maji...
Natembea kifua mbereee[emoji16][emoji16][emoji16]
Niombee niache "uchiinka" (in Carleen's voice)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen 🤲
Asante sana Carleen 🙏Have a very blessed Wednesday dears.!!
you have to take a real good care ov yourselves.!!
🙏🙏🙏 A good day to you too!!Have a very blessed Wednesday dears.!!
you have to take a real good care ov yourselves.!!
Bibi bado tunakupenda na bado tunakuhitaji.Hili halitatokea.Mkisikia Ummy anatangaza kifo cha korona cha mwanamke mwenye miaka 51 mkazi wa Dar mjue ni mimi hapa
Niaje bro?Siku inaanzaje hapo?
Hawa tayari lazima wakanyagane hawa [emoji16][emoji16]
Shimbi ndio mnyama gani huyo, simba au tembo au dubu, mana kwa mjengo huo
Hapa kwema Bro, unapotea sana skuizi!Niaje bro?Siku inaanzaje hapo?