capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nafurahi kukuona tena hapa, umetoka Quarantine tayari?Hawa tayari lazima wakanyagane hawa [emoji16][emoji16]
Nafurahi kukuona tena hapa, umetoka Quarantine tayari?Hawa tayari lazima wakanyagane hawa [emoji16][emoji16]
Aaaa wapi. Ngoma bado mbichi japo angalau kuna mwanga sasa. Mei 30 pengine. Huko kwako vipi? Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nafurahi kukuona tena hapa, umetoka Quarantine tayari?
Mkuu, usiulize majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali [emoji16][emoji16][emoji16]Shimbi ndio mnyama gani huyo, simba au tembo au dubu, mana kwa mjengo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaa wapi. Ngoma bado mbichi japo angalau kuna mwanga sasa. Mei 30 pengine. Huko kwako vipi? Mungu Aendelee kutulinda bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Binafsi NIKO SALAMA 🙏 🙏 🙏