moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
akutukanaye hakuchagulii tusi....Mungu ana majukumu mengi hivyo hawezi kuwasikiliza wajinga wanaoshindwa kuchukua tahadhali za kisayansi kutokomeza corona "
ngoja tumuulize handsome davet
hivi wasiojulikana hawawezi kufika Uganda???"Tafadhali msimsumbue Mungu kwa vitu vya kijinga.
Mungu ana majukumu mengi hivyo hawezi kuwasikiliza wajinga wanaoshindwa kuchukua tahadhali za kisayansi kutokomeza corona "
Acheni mambo ya kijinga, Corona haitaondoka kwa maombi, itaondoka kwa kufuata ushauri wa kisayansi kama tunavyofanya kwenye serikali yetu ya Uganda.
Hayo yamesemwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa wananchi wa taifa hilo kuendelea kuwa waangalifu kujiepusha na maambukizi ya corona.
Chanzo.
mtandao wa East Africa TV Plus+View attachment 1426519
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue enzi zetu tulikua na sabuni za jaribuJaribu tu huwezi kujua ukaielewa
Sawa lakini Mungu hajawahi kuwa busy"Tafadhali msimsumbue Mungu kwa vitu vya kijinga.
Mungu ana majukumu mengi hivyo hawezi kuwasikiliza wajinga wanaoshindwa kuchukua tahadhali za kisayansi kutokomeza corona "
Acheni mambo ya kijinga, Corona haitaondoka kwa maombi, itaondoka kwa kufuata ushauri wa kisayansi kama tunavyofanya kwenye serikali yetu ya Uganda.
Hayo yamesemwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa wananchi wa taifa hilo kuendelea kuwa waangalifu kujiepusha na maambukizi ya corona.
Chanzo.
mtandao wa East Africa TV Plus+View attachment 1426519
Sent using Jamii Forums mobile app
Mu7 anatamani sana tukose raha ya kumtimua idd amini khaa mashushu yake yanakera"Tafadhali msimsumbue Mungu kwa vitu vya kijinga.
Mungu ana majukumu mengi hivyo hawezi kuwasikiliza wajinga wanaoshindwa kuchukua tahadhali za kisayansi kutokomeza corona "
Acheni mambo ya kijinga, Corona haitaondoka kwa maombi, itaondoka kwa kufuata ushauri wa kisayansi kama tunavyofanya kwenye serikali yetu ya Uganda.
Hayo yamesemwa na rais wa Uganda Yoweri Museveni kwa wananchi wa taifa hilo kuendelea kuwa waangalifu kujiepusha na maambukizi ya corona.
Chanzo.
mtandao wa East Africa TV Plus+View attachment 1426519
Sent using Jamii Forums mobile app
labda waimba taarabuKwani huko pwani hawapatikani kama hao wa titanic
Mu7 kakosa cha kuongea anachungulia nyendo za jirani na kuanza kuropokaSawa lakini Mungu hajawahi kuwa busy
Ujue enzi zetu tulikua na sabuni za jaribu
Ndio crushUnaumwa kweli Crush?
Hahahahaa yaani weweNa ninyi andaeitini mna enzi zenu kumbe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ahsante. Sasa nitaenda kukaa wapi sunbaekama una wasiwasi jiweke mbali na familia yako japo kwa siku tatu kuanzia leo......ila huenda ni homa ya kawaida.
get well