Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Shirika la Afya Duniani lilikadiria ifikapo mwezi April mwaka huu Tanzania ingekuwa na wagonjwa wa corona 524,716.
Tunamshukuru Mungu, ingawa april inakaribia mwisho lakini lengo hilo la WHO hatujalifikia hata nusu yake".
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…