Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
✔✔Kutibu na kukukinga na magonjwa ya mfumo wa upumuaji- magonjwa kama mafua, maumivu ya kifua, kikohozi na asthma haya ni baadhi ya matatizo yanayoweza kutibiwa na kitunguu saumu.
Sawa sawaKutumika kwa kutafuna vipande vyake- vipande vya kitunguu humenya na huliwa kwa kutafuna, tumia vipande walau 7-10 kwa wiki ni wastani mzuri kitiba.
ikifika hapo ndipo tunasema mali safi iende chain chain