Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

βœ”βœ”
 
Hivi ile picha ya samaki imesindikizwa na vidole vya mwanaume haswa ilipotelea wapi?
Numbisa
carbamazepine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo tayari shemeji sogea tu. Wewe wawili (wale wadogo) na mimi wawili (wale wakubwa kidogo). Pembeni tunasukumizia na supu ya kabeji na kimvinyo chekundu kidogo au Nyagi/K-Vanti kama unataka [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mpishi Maliha Mohammed kutoka Kenya amevunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kupika kwa muda mrefu zaidi, ambapo jana alitimiza saa 75 akipika bila kupumzika. Rekodi hiyo ilikuwa inashikiliwa na Rickey Lumpkin kutoka Marekani aliyeiweka 2018 kwa kupika kwa saa 6:30:01.
 
Unaweza kwenda mbele ya muda na kurudi nyuma pia (Time Travelling), kwa nadharia za kisayansi inawezekana lakini haijawahi kufanyiwa majaribio sababu haiwezekani kutoka na ufinyu wa teknolojia. Mojawapo ya kigezo ni kuwa na chombo kitakachoweza kwenda na kufikia spidi ya mwanga (Light) ambayo ni 3000,000,000 m/s.
Vyanzo: Medium, BBC, Express..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…