Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Toka zako huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile suruali ilivuma balaa just imagine kuna siku niliikuta watsup status kwa ndugu yangu mzito nikabaki kucheka tu. Halafu hapo jana yake tu ndo nilikua nimeiibua upya humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#surualiyenyewesibadoipo?
Dahhh!!!Mambo tayari shemeji sogea tu. Wewe wawili (wale wadogo) na mimi wawili (wale wakubwa kidogo). Pembeni tunasukumizia na supu ya kabeji na kimvinyo chekundu kidogo au Nyagi/K-Vanti kama unataka [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1427327
mkuu hujala.😱😱😱😱Dahhh!!!
Kwa hali niliyo nayo kwa saa hii, aiwishi ningekuwa pande hiyo[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
Wee acha tu ndugu yangu, humu jamii forum najifanya matawi ya mbinguni lakini uhalisia naujua mwenyewemkuu hujala.[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]