Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huu utirio lazima nimshushie mtu leo walahi! π π πΆββοΈ πΆββοΈ πΆββοΈ
Nimejikuta nawaza mbaali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kapaniki na mafua yake tu hana lolote huyo...na chuma ya doshi tu yaweza mtibu akapona kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Wee mzee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huu utirio lazima nimshushie mtu leo walahi! [emoji16] [emoji16] [emoji2211] [emoji2211] [emoji2211]
Mtu akishikwa masaa baya anakulishwa viboko kama mtoto mchanga. Yule anayeshikwa bila barakoa huyo ni karantini direct.
Nikifikia hatua ya kiangalia taarifa ya habari sijui nitakuwa niko katika hatua gani[emoji23][emoji23]
Hivi kuna watu bado mnaangalia taarifa ya habari?
Pia na mimi nashukuru sana kwa kupatana na huku.. Huku mambo ni yale yale tu ya kawaida na vitisho kwa wingi.
Mvua,radi baridi
tumieni vitunguu na muarobaini
βDSM, na Mwanza niliona mabasi yanapulizwa dawa na hasa DSM, hakuna upuliziaji dawa unaoweza kuua corona, ingekuwa pakipulizwa corona wanakufa, Nchi zinazoendelea wangemwagia Nchi zao kwa Ndege na wasingekuwa wanakufa, kule kupuliza dawa ni upuuzi tuβ - JPM
Hakuna virusi wanaokufa kwa 'fumigation', kilichofanyika Dar es Salaam cha kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye '`fumigation` ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya corona" Rais Magufuli