Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahaha aiseeeHapa jamii ya Ki-Asian hamuwezi kuelewana. Wenyewe wanakuambia maji wa uvuguvugu ndio mpango mzima.
😂😂😂😂Unapopiga chafya, unakufa kwa sekunde. 49. Unapotekenywa hucheki, bali ni itikio na kupaniki (panic response). Huwezi jitekenya mwenyewe kwa sababu mwili hauhisi hatari yoyote. Kawaida enzi za zamani kutekenya ilitumika kama adhabu.
Usiku wa manane eee... NotedKwa kawaida watu huwa waaminifu na wakweli mwili ukiwa umechoka, na ndio sababu hutubu na kutoa siri zao kwenye mazungumzo yatekeayo usiku wa manane,
Daah sijui nani anawindwa hapo ,siri zoote atatoaaa hahahaUsiku wa manane eee... Noted
Wenye nacho ila kina sisi tunaomba isitokeeMbona huwa naona kuna wenzetu hapa huwa wanalalamika nchi kukosa Lockdown?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabingwa wa kununa wewe asikwambie mtu. Kumbe huwa hawana upendoHaiwezekani kukaa na hasira dhidi ya umpendae kwa mda mrefu. Hasira inayofika siku tatu au zaidi inamaanisha kwamba hauna upendo.
Team lockdown wanapovu waleWenye nacho ila kina sisi tunaomba isitokee
Let me do the counting[emoji23][emoji23][emoji23]Kufuatana na uchunguzi wa wataalam, kumtamani mtu kingono huishia miezi minne, zaidi ya hapo utakuwa ni upendo wa dhati.
Hahaha.. hizo asilimia utazitambuaje? eti anakutishia... mechekaKama mtu akiongea na wewe halafu kwenye maongezi akakungalia machoni kwa asilimia 60 ya maongezi basi umemboa mtu huyo. Kama atakuangalia kwa asilimia 80 basi umemvutia mtu huyo na kama itafikia asilimia 100 basi mtu huyo anakutishia.