Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Serikali yakiuka kanuni za mazishi ya waliofariki kwa corona.
Serikali ya Nigeria imeruhusu kundi kubwa la waombolezaji kuhudhurua mazishi ya mnikulu wa Ikulu ya Abuja Nigeria aliyeambukizwa corona kwenye ziara yake ya kikazi nchini Ujerumani, ambaye amefariki na kuzikwa juzi.
Abba Kyari kabla ya kifo chake , alisafirishwa kwa ndege toka Abuja mpaka Lagos kupatiwa matibabu kwenye hospitali binafsi hali iliyopelekea hasira za wananchi wa taifa hilo.
 
Maji najitahidi sana pia ule ushauri ni muhimu sema sasa nakosa muda, kama unaona hata kasi ya ushiriki wangu hapa jukwaani imepungua (kuna mishe imenikamata hatari)

Nafurahi kusikia upo safi
Acha hizo bhana,afya ndo mtaji ujue?

Anyway maliza ubusy lakini your health should be your first priority.

Ugua upone totoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…