Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku hizi binzari inatumika sana kwenye mapishi ya pilau,birian etc japo bado kuna wenye kutumia kwa ajili ya urembo
Zamani unga wa bizari ulikuwa unauzwa sokoni, wazee walikuwa wanaweka kwenye mchuzi.
Lakini miaka ya karibuni sijaionja bizari kwenye mchuzi wala sioni unga wake sokoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…