myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Siku hizi binzari inatumika sana kwenye mapishi ya pilau,birian etc japo bado kuna wenye kutumia kwa ajili ya urembo
Na atukinge na maradhi ya kila aina.. π π πInshallah Mwenyezi Mungu atuamshe salama, kila lenye Kheri likawe upande wetu kwenye mwezi huu mtukufu[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππUsiku wa kufanya towba
Aah kumbe. Basi hizo za manjano huwa zipo sokoni zinafanana na tangawizi kwa nje kabla hazijakaushwa na kusagwaHata hivyo inayotumika kwenye pilau ambazo naziona pande hizi ni bizari nyembamba, syoi zile za manjano
Kwani umekatika kweli?Asante sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nguvu za kiume kwenye bizari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]