Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mende adui yangu nikimuona tu kama sina kiatu basi namkanyaga hivyo hivyo fasta fasta kabla hajakimbiaπππ baki hapo hapo kwenye Nzi kabla sijabadili kuweka Mende
πππππ
Nimtishe na nini na ile silaha niko nayo ni panga mkuu
Huogopi Mende wewe eti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mende adui yangu nikimuona tu kama sina kiatu basi namkanyaga hivyo hivyo fasta fasta kabla hajakimbia
Siogopi,eneo nililokulia walikuwepo wengi ukipiga kelele umeona mende unaambiwa chukua ndala umpige basi nshazoea. Hata mijusi ya ukutan nakimbizana nayo vizuri tuHuogopi Mende wewe eti?
ππππ basi inatosha usininyweshe chai nyingi nitashindwa kulalaSiogopi,eneo nililokulia walikuwepo wengi ukipiga kelele umeona mende unaambiwa chukua ndala umpige basi nshazoea. Hata mijusi ya ukutan nakimbizana nayo vizuri tu
Hahahaha mbishi jamani kama kanye westππππ basi inatosha usininyweshe chai nyingi nitashindwa kulala
Minyusi ya ukutani siipendi,naiogopa ina macho mabaya ikikuangalia kama imewahi kukuona mahali na ina kisasi nikiona huwa nakimbia.Siogopi,eneo nililokulia walikuwepo wengi ukipiga kelele umeona mende unaambiwa chukua ndala umpige basi nshazoea. Hata mijusi ya ukutan nakimbizana nayo vizuri tu
Ukiyablend hivyo hivyo nakupa pole jamani machunguuuuuuView attachment 1430386
Mwendo wa lemao
Huwa naitishia kuirukia ikiwa haijajiandaa inadondoka basi ni mwendo kupiga mpka kinakufa. Ambayo siipend sana ni ile ya ukutan nje blue na nyekundu ikikuona tu inatikisa kichwa tunasema inatukanaMinyusi ya ukutani siipendi,naiogopa inajicho kali ukikuangalia kama umewahi kukuona mahali na ina kisasi nikiona huwa nakimbia.