Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Una ujasiri mimi hata kuipiga huwa naogopa nikiona hasa msalani ni kukimbiaHuwa naitishia kuirukia ikiwa haijajiandaa inadondoka basi ni mwendo kupiga mpka kinakufa. Ambayo siipend sana ni ile ya ukutan nje blue na nyekundu ikikuona tu inatikisa kichwa tunasema inatukana
WazimaWazima humu ndani watu wangu wa nguvu
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Duh pole maana umeme ukikatika na upo humo si mateso hayoUna ujasiri mimi hata kuipiga huwa naogopa nikiona hasa msalani ni kukimbia
Sie wazimaLeo nimepita kuwasabahi jamii yangu
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Nafurahi kuwakuta muwazima wa afya, coz siku hizi ni changamoto hasa huyu COVID-19 anayetishia amani ya duniaWazima
Niache tumbo limejaa chai yakoHahahaha mbishi jamani kama kanye west
Jamaa chini ya. Godoro
Niache tumbo limejaa chai yako
πββοΈπββοΈ