myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hili shamba nimelipenda sana.
Ukulima wa hali ya juu
Ulishawahi kwenda mkuu ππKule ndani mambo sio mazuri ata.
Inapendeza sana kwa kweliUkulima wa hali ya juu
Hiki kijiwe muruwa kabisa hasa weekend kama leoLikes kama kawaida
Awe nani tena zaidi yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi huyoo
Duh!
Mimi apana lakini kuna jirani yangu alikuwa huko last month.Ulishawahi kwenda mkuu ππ
ββHiki kijiwe muruwa kabisa hasa weekend kama leo
Inapendeza sana kwa kweli
Mambo vipi upande huo?Likes kama kawaida
Kitu chochote tu unaweza kufanya ukawa na mategemeo flani alafu wadau wakakupatia kitu hukutegemeaπ kama gani hivi ndiyi ata mimi nisifanye
Mambo vipi upande huo?Likes kama kawaida
Afadhali ukawe quarantine ya huko kidogo utaenjoy na hali ya hewa muruwa kabisa.Tena shamba lenyewe ni safi sana
πππKitu chochote tu unaweza kufanya ukategemea ukawa na mategemeo flani alafu wadau wakakupatia kitu hukutegemea