Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadhi ya nchi wamesamehe bill ya umeme, maji internet, majengo nk.
Serikali yetu nayo iangalie kwa makini hilo maana hali ya uchumi wa wananchi imevurugika
 
HBD Kivuruge wa watu....



Utani pembeni naomba niseme tu kwamba wewe u dada na binadamu mwema sana. Nilipofiwa na mama ulisimama kidete ukanisaidia sana bila kuchoka. Nikiwa mpweke halafu mbali na nyumbani, ulikuwa nguzo imara ambayo kwayo niliweza kuegemeza kichwa changu nikalia bila kuogopa. Mpaka leo huwa nasoma ushauri wako na kulengwa lengwa na machozi. Naamini Mungu Alikutumia kipindi kile ili kupunguza maumivu yangu; na uliutii wito huo kwa unyenyekevu sana.

Kwangu ulipanda mbegu za wema, unyoofu wa moyo na ubinadamu ambazo daima zitaendelea kuchipuka. Na mimi nikitendewa wema huwa sisahau kamwe. Hunijui sikujui lakini natumaini siku moja nitaweza angalau kukushukuru kwa uhalisia zaidi.

Nakuombea Mungu Akupe maisha marefu yenye amani, furaha na ridhiko tele. Wema wako ulionionyesha wakati ule nami nitauendeleza kwa wengine huko. I will pass it forward...and that's how we make our world a better place. Barikiwa sana shemeji na Mungu Akulinde uvuke salama katika mapambano haya ya Korona. You are a blessing to many mbali na ukivuruge wako sometimes...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

 
Happy birthday carbamazepine uishi miaka mingi zaidi ya bi kidude.
 
Binadamu anapo zaliwa kutoka katika tumbo la mama ake, tayari na maisha ndipo pale huanzia, maisha ya binadamu huanza pale anapo zaliwa, kama ulianza vibaya basi utamaliza hvyo hivyo ndiyo maana waswahili wa kwetu husema "Pain is weakness living in the body" lakini pia ukitaka kubadili mwelekeo hasi katika maisha anza na kubadili maneno yako na mtazamo hasi wako
 
Kila Lionwalo na Binadamu huwa ni sahihi machoni pake, lakini kulitenda huwa ni kazi, mara nyingi tumetawaliwa na HOFU kinacho tendwa na binadamu huwezekana lakini ila ni kumuomba Mungu tu, Ubongo usiojishughulisha ni kalakana ya Shetani. Tufanye Kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…