Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu Range ni habari nyingine. Ila huwa napenda sana Defender kwa kuwa linahili mikiki mikiki ya hasle za kiafrika.
Zamani nilikuwa natamani Land Cruiser original kabisa ila sasa nimehamishia mawazo kwenye Range. Kuna hizi zenye ukubwa wa kati aisee zinanivutia sana. Labda one day Mungu Akipenda aisee...Gari ya muzungu....
 
Hebu tuache bro,
Mtu unatoaje ng'ombe 100 kwa ajili ya kuoa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyu Mpare mwenzio tumehangaika naye sana na waliokuwepo humu wanakumbuka. Tulimpunguzia bei kutoka ng'ombe 70 mpaka 35 (madume 20 na majike 15). Akakubali lakini mpaka sasa katoa ng'ombe sita tu na wawili walikuwa wagonjwa wakafa. Hatuna hamu na Wapare aisee na ukoo mzima tulishamsusia. Akija kupata matatizo atarudi kututafuta mwenyewe akilia. Huwezi kudhulumu mahari ya watu halafu ukabakia salama. Nevaaa !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…