Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zamani nilikuwa natamani Land Cruiser original kabisa ila sasa nimehamishia mawazo kwenye Range. Kuna hizi zenye ukubwa wa kati aisee zinanivutia sana. Labda one day Mungu Akipenda aisee...Gari ya muzungu....
That's true bro. Range imesimama sana. Ila uwe na matunzo ya kutosha. Ukinunua kubali kabisa kuwa umeoa mke wa pili 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…