Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mie huwa nachuja yaani hatua za mwisho ukweli lazima uwepo. Yaan huu u anonymous wa kudumu bagesh ili kunogesha jukwaa zaidi na uhuru kwa sana
 
Mie huwa nachuja yaani hatua za mwisho ukweli lazima uwepo. Yaan huu u anonymous wa kudumu bagesh ili kunogesha jukwaa zaidi na uhuru kwa sana
Pumba zingine huwa hazichujwi kwa sababu hata uchuje vipi ni kazi bure. Kama wewe napenda sana uhuru wangu kwa sababu naweza kujiachia ninavyotaka bila kuogopa wala kubanwa banwa na cho chote japo mara nyingi uhuru ni ghali....

Siku ukikata shauri kuachana na JF uanonimazi wa nini sasa? Hata kama nitakuwa na mkongojo nitajisogeza Igoma aisee au kule Gold Crest kama mafao yatakuwepo bado [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah. JF idumu

Yaani natamani kusema am here to stay ila corona inatishia amani.

Muda wa kuvua samaki in poti's voice
 
Korona haiui under 30 unless uwe na ishu zingine. Hofu ya nini? Jikinge tu kwa ajili yetu wahenga na wengine ambao wako vulnerable...

Kavue samaki salama. Huwa nafurahia nikikufuma upo kwenye good mood namna hii. Siku zingine kama hivi ningekuwa nshakula za uso kama siku ile nikakutania kidogo tu ukaniambie eti niache kupaniki hovyo. Yaani wewe dah! Ndo maana huwa natamani angalau kukuona siku moja ili nione tu unafananaje; na ilikuwakuwaje mpaka ukawa hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Duh! Mkuu hongera sana. Hilo gari litakuwa lina umri wa mtu mzima sasa hivi. Nayapenda sana hayo magari hasa kwa kazi za shamba mkuu. Kama una shughuli za shamba usiliuze mkuu.
 
Duh! Mkuu hongera sana. Hilo gari litakuwa lina umri wa mtu mzima sasa hivi. Nayapenda sana hayo magari hasa kwa kazi za shamba mkuu. Kama una shughuli za shamba usiliuze mkuu.
Sema nikuuzie bro. Huko kwako ma amigos na ma hillbilly watalifanya pick up ya kubebea mboga mboga mashambani. Tena litasilibwa stickers za MAGA na Trump/ Pence 2020 mpaka kwenye saiti mira [emoji16][emoji16][emoji16]...

By the way, Saint Anne ulishampandisha pipa au bado mnasikilizia Korona kwanza?
 
Duh bro mimi gari nitanunua nikiwa tayari nina shamba. Maana hapa nilipo nitaliweka wapi 🤣🤣🤣. Shamba nitanunua nikistaafu huko vijijini.

Ila Land Rover imeulia sana isee. Nisikilizie kama miaka 5 hivi lazima nikutafute uniuzie bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…