Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,748
Duh, hapo shughuli ipo. Hiyo ngona inaitwa Bedford imepakia kifusi.Sijaona dude hapo jamaa....
Fanya kikupacho furaha kamanda ali mradi usivunje sheria [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1432922
Hizi kusudi kabisa
Hii kesi inarudi tena Shemeji au nihii Corona imekufanya umeishiwa. Wewe sema tu kama usawa umekaa vibaya huko mimi nitasaidia, huna haja ya kuleta kesi ambayo nilisha imaliza zamani sana.Siye hatukutambui na vitoto vyako. Mahari utatoa tu hata iweje. Wapare wabahili mpaka kwenye mahari. Hovyo kabisa !!!
Ulimlipa nani hiyo mahari?Hii kesi inarudi tena Shemeji au nihii Corona imekufanya umeishiwa. Wewe sema tu kama usawa umekaa vibaya huko mimi nitasaidia, huna haja ya kuleta kesi ambayo nilisha imaliza zamani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona dude hapo jamaa....
Fanya kikupacho furaha kamanda ali mradi usivunje sheria [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1432922
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah. JF idumu
Yaani natamani kusema am here to stay ila corona inatishia amani.
Muda wa kuvua samaki in poti's voice
Huyo naye alijaribu kutulipa tung'ombe tugonjwa gonjwa hivi. Tulipombana eti akavunja ndoa na dada yangu Nsamaka akifikiri anatukomoa kumbe anatutajirisha
Huu ni ugonjwa sugu. Nilishajaribu kuuacha ikashindikana.
Aaah, we nae! Mimi nitakuwa nimevizia na Binocular pale New Mwanza Hotel; ili nishuhudie ukikutana na poti akiwa na mkongojo wake! 😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah. JF idumu
Yaani natamani kusema am here to stay ila corona inatishia amani.
Muda wa kuvua samaki in poti's voice
Mkongojo utakuwa wa kuzugia tu. Atakachokipata hatakisahau [emoji16][emoji16][emoji16]Aaah, we nae! Mimi nitakuwa nimevizia na Binocular pale New Mwanza Hotel; ili nishuhudie ukikutana na poti akiwa na mkongojo wake! [emoji16]
Huu ni ugonjwa sugu. Nilishajaribu kuuacha ikashindikana.
Huyo naye alijaribu kutulipa tung'ombe tugonjwa gonjwa hivi. Tulipombana eti akavunja ndoa na dada yangu Nsamaka akifikiri anatukomoa kumbe anatutajirisha
Poti na corona hii, inabidi ujipeleke ICU mwenyewe kabisa. Akiibuka hapo, kazi kwako. 😁Mkongojo utakuwa wa kuzugia tu. Atakachokipata hatakisahau [emoji16][emoji16][emoji16]