Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro banaKorona haiui under 30 unless uwe na ishu zingine. Hofu ya nini? Jikinge tu kwa ajili yetu wahenga na wengine ambao wako vulnerable...
Kavue samaki salama. Huwa nafurahia nikikufuma upo kwenye good mood namna hii. Siku zingine kama hivi ningekuwa nshakula za uso kama siku ile nikakutania kidogo tu ukaniambie eti niache kupaniki hovyo. Yaani wewe dah! Ndo maana huwa natamani angalau kukuona siku moja ili nione tu unafananaje; na ilikuwakuwaje mpaka ukawa hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hii kesi inarudi tena Shemeji au nihii Corona imekufanya umeishiwa. Wewe sema tu kama usawa umekaa vibaya huko mimi nitasaidia, huna haja ya kuleta kesi ambayo nilisha imaliza zamani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimlipa nani hiyo mahari?
Huu mgogoro umeibuka upya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo naye alijaribu kutulipa tung'ombe tugonjwa gonjwa hivi. Tulipombana eti akavunja ndoa na dada yangu Nsamaka akifikiri anatukomoa kumbe anatutajirisha
Ni kwema Ankooo, tunashukuru Mungu....eeh ni kweli tumempoteza mheshimiwa, gonjwa linatisha sana!!...tahadhari ni muhimu mnoo, espeshali kwa sisi waumwa mafua kila siku......Asante kwa kumjali anko wako [emoji56]Marahaba TH. Kwema huko kwako? Nimeona mkuu mmoja wa wilaya huko Kusini eti kaaga dunia kutokana na "changamoto ya kupumua". Chukua tahadhari anko japo maandaeitini Korona hii hata mafua hampati but you never know.
Shukrani Kaka[emoji120][emoji120][emoji120]Yanaenda vema.
Jitahidi kuchukua tahadhari.
Epuka mikusanyiko isiyo ya lazima, vaa Barakoa, vaa gloves, jioshe na vitakasa mikono mara kwa mara.
Corona bado ipo
Ooh!! Wacha na mimi nikawasumbueZile za kati. Mwanzoni nilikua naanza na za pembeni hapo game gumu ila za kati game linafunguka mapema tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]all the bestOoh!! Wacha na mimi nikawasumbue
Ostaz kafunga kawa mpoleeee. Kwa sasa hata sharubu unaweza kumchezea tu SA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ostaz kafunga kawa mpoleeee. Kwa sasa hata sharubu unaweza kumchezea tu SA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😀 😀 [emoji1787] Mimi ni wa kiambu sio kakamega mkuu. Huku tuko freshi kama kawaida
Oh pole kwa habari ya mafua TH.Ni kwema Ankooo, tunashukuru Mungu....eeh ni kweli tumempoteza mheshimiwa, gonjwa linatisha sana!!...tahadhari ni muhimu mnoo, espeshali kwa sisi waumwa mafua kila siku......Asante kwa kumjali anko wako [emoji56]
Weeeh!! Upo vizurii, nimeishia hapo expert....nikiona American inanichosha nahamia kwengine,
Just thinking loud wengi wao wenye hela,afya mgogoro wale wa kutibiwa hospital kubwa mamton saiv maskin wote tunatibiwa hosp za hapa hapa nchini. Mwaka huu mbaya sana
Raha ya america ni kujiona genious pale unaposhinda level moja. Wapenda challenge hapa ndo pazuri. King hana utawala mrefu kama pengine
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkongojo utakuwa wa kuzugia tu. Atakachokipata hatakisahau [emoji16][emoji16][emoji16]