Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Just thinking loud wengi wao wenye hela,afya mgogoro wale wa kutibiwa hospital kubwa mamton saiv maskin wote tunatibiwa hosp za hapa hapa nchini. Mwaka huu mbaya sana
Nimeona jamaa mahali anasema kuwa hili liwe funzo kwa wanasiasa na matajiri. Waboreshe huduma hapa hapa kwa sababu mambo ya kukimbilia Sauzi, India, Ulaya na Marekani kutibiwa kuna wakati kumbe hayawezekani hata kama una ndege yako mwenyewe. Halafu mbaya zaidi kumbe wengi wao wala hawana afya nzuri - kisukari na presha tu pamoja na vitambi na mabilioni yao. Sasa wanapukutika kama nzige. Inahuzunisha sana kwa kweli....
 
Neno la busara kabisa. Wanasiasa wanajisahau sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…