Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Being funny and humorous is often mentioned as number one quality that is highly sought by women when they are looking for a partner. Haishangazi...na hata la kufikisha kileleni linaingiamo kwa sababu mwanamke kama hakufeel kihisia na kisaikolojia kumfikisha Mapenzi ni olomosti imposibo [emoji16][emoji16][emoji16]

(Nshadandia mada dah !!!)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hasira za aina hii hapana.
Katika umri wangu huu nimesalitiwa sana, ningeshajiua tangu zama hizo.
Usiruhusu binadamu mwenzako akuweke roho juu wakati Dunia imejaa watu kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila binadamu ana namna ya pekee jinsi ya kuzuia hasira zake Mpendwa unaweza sema siwezi ikafika siku ukajishangaa kipi kimekutokea.
 
Hisia juu yako kwa mwanamke ndio muhimu katika kuweza kumfikisha kileleni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo chambo lote linamuhusu dida. Huyo jamaa bana kajikrimu hatare
Ndo mana nikasema hili ni chambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanaume ana chamba huyu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…