Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Idadi ni ileile tu sijaona update mpya

Ila zingatia sana ushauri wa kitaalam
Vaa barakoa
Nawa mikono na maji tiririka na sabuni ama tumia sanitaiza
Ukiona dalili wahi hospitali.
Epuka safari zisizo na lazima.

#halisiopoa
Kuna jamaa nafahamiana nae juzi mzee wake alivuta na inasemekana ni Covid, sasa taarifa alizonipa kwenye simu zinatisha na kusikitisha....

Najitahidi sana kuzingatia kila kitu ili nibaki kuwa salama, wewe pia usisahau kuwa makini juu ya hili
 
Acha kabisa.
Kuna taarifa nimepata hata 30mins hazijapita,yaani mambo siyo mambo.

Mungu atusaidie kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…