COVID 19.
Takwimu za mpaka leo asubuhi.
1.DR Congo 471 vifo 30
2.Kenya 374 vifo 14
3.Tanzania 299 vifo 10
4.Rwanda 212
5.Zambia 95 vifo 3
6.Uganda 79
7.Msumbiji 76
8.Malawi 36 vifo 3
9.Burundi 11 kifo 1
Ripoti hii kwa mujibu wa utafiti wa chuo kikuu cha John Hopkins.
Kutokana ya taarifa ya Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa aliyoitoa mchana wa leo jumatano April 29 2020, Tanzania imepata jumla ya maambukizi 480, kwahiyo Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa kwenye nchi za maziwa Makuu ikifuatiwa na DR Congo.