Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Kwa nini hii dawa isiletwe huku jamanii
Mpaka Marekanai waikubali etiKwa nini hii dawa isiletwe huku jamanii
ππunawaloga nn?The Happiness ndani ya turkish expert level ishafunguka
Kwani lazima Marekani kwa sasa kila Nchi iangalie jinsi gani itaponyesha Wananchi wake.Mpaka Marekanai waikubali eti
Kulia kwako kile kitufe cha juu cheza nacho vizuri. Taa haisaidii kabisa ila kile cha juu kinakupa muda wa kujisahihishaππunawaloga nn?
#NinamashakanaBurigiπββοΈ
Wacha akupe kalike kazuri kwakuwa nae anatabia mzuriAiiiiii....Jamani we kakaaaaa...Mmmmh....Hata sijui nisemeje yani.....Nimekaona kalike kangu mwenyewe, kazuriiii
Pata like na wewe nimekupatia mbili mkuu
Sio wewe tu woote tushampa huyooAsante sana mkuu na wewe pia kula like yangu
COVID 19 Update,
Taarifa ya Waziri Mkuu wa Tanzania
Mh Kassim Majaliwa.
Tanzania imepata maambukizi mapya 196 kati ya hao Tanzania bara wagonjwa 174.
Tanzania Zanzibar wagonjwa 22.
Jumla ya wagonjwa ni 480
Waliofariki 16.
Waliopona 167
Wagonjwa wanaendelea na tiba 293
Chanzo ITV Tanzania
ππππ kumbe nikajua ni mimi peke yanguKulia kwako kile kitufe cha juu cheza nacho vizuri. Taa haisaidii kabisa ila kile cha juu kinakupa muda wa kujisahihisha