Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku kunakaribia kunishinda. Binti yako Kivuruge wakikutana na bilionea wa madini wa Kinyiramba halafu na Esta awepo aisee kunakuwa na joto kali sana humu. Ngoja tuone itakavyokuwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo naona hata kenya wababa wanafanya hivyo
Ila wamama wanalalamika maana wanateseka na kuna wanaume hawajawahi wanunulia bra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina maana muda si mrefu bra zitaadimika majumbani mwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kiingereza mti huu unaitwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemeji kwa kingereza tena, mwenzio magego yananiuma...

Upo kama muarobaini, ni mchungu sana, inastawi kwa wingi sehemu za joto. Kabla ya ujio wa muarobaini ilikuwa inapatikana kwa wingi kwenye masoko na mashuleni.

Shuleni ukipewa adhabu ya kuchimba kisiki chake wala usisumbuke[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…