Naombeni msikilize kwa makini kama si kusoma kwa makini. Si kila mtu anawanyenyekea kama mnavyodhani au mnavyotaka kunyenyekewa. Mimi nitaendelea kuwa adui wenu namba moja humu kila siku hadi pale nitapoacha kwa hiari ila si kwa sababu ya vifungo vyenu ambavyo havina sababu za msingi.
Mimi ndiye yule jamaa mliyempa Ban eti kisa huwa nawatuhumu, kuwakebehi bila ushahidi kwenye majukwaa mbalimbali yaani mimi ni Mbao za Mawe.
Siwezi kutetereka hata siku moja nyie ni watu wenye mapungufu tu kama watu wengine wala hamjatengenezwa na vito vya thamani bali ni udogo kama wanadamu wengine. Kwahiyo mnakosea kama wanadamu wa kawaida. Ban yangu inaisha Jul ila tambueni nitakuwa humu na kuendeleza kile nachoamini ila kama mnataka ninyamaze ondoeni ID's zangu 58 zilizopo humu.
Bila kuondoa hizo ID's basi nitaendelea kuwa nanyi kila siku.
Unganisheni hii ID ila huwezi kupambana na Mbao za Mawe kwa kumpa kifungo kwenye ID moja.
Afghanistan