andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zile ng'ombe za mwakaleli si ulizikataa shem?ukasema zina vichwa vikubwa kuliko viwiliwili?
Inasikitisha sana, hajavaa hata barakoa.
Yale yalikuwa madume ya siafu hawakuwa ng'ombe shemeji. Ndoa ilipovunjika tulisherehekea sana [emoji1734][emoji1734][emoji1734]Zile ng'ombe za mwakaleli si ulizikataa shem?ukasema zina vichwa vikubwa kuliko viwiliwili?
Hahaa!Zina faida bana, zinashikiria nani hii. Shida ni ile kuchelewesha muda wa nani hii, sijui zina ugumu gani kuzivua... [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hata jina lake Electra linaonesha ni jinsi gani anapigana na erections, yani hivyo visu vyake viwili viko erected sana. Hatari sanaaa.....
Dooh, R.I.P Queen.
Mimi najua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahaa!
Sio kwamba mnakuwa na haraka ama hamjui jinsi ya kufungua?
Sijui hata naongea nini[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kifo njenje....
Mimi najua [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeandika chochote ili upate like...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nimewaka kabisa rede tu go mi naziraruaga tu mpaka mmiliki wake anaomba aitoe mwenyewe kwa utaratibu [emoji16][emoji16][emoji16]Zina faida bana, zinashikiria nani hii. Shida ni ile kuchelewesha muda wa nani hii, sijui zina ugumu gani kuzivua... [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app