myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Nenda katoe support 😂Nmemwambia
Naona ana uzi mpya hahatag watu[emoji38][emoji38][emoji38]
Nimesubiri kikongwe apasuliwe naona kimya ila nimekukubali mpendwa una mikwara😁😁😁😂😂😂😂😂😂
Hivi kumbe na wewe ni mchokozi vile!!
Hii movie huyu mwamba ameitendea haki
Anatag watu wenyewe hawaji hata kulike tu, me kila nikiondoka kwenye Uzi wake nakuta notification kashanitag....nikamwambia kifuatacho nitakuja nikupige ndiyo naona sahivi kimya hata notification hamna 😂 anaonekana ni mswahili sana yule dada afu ndiyo anajikuta campany yake ni ya wanaume mimi nakataa.
Girls wenye campany na wanaume hawako local vile.
Watu wajuliane hali
Freshi kabisa
Huku kwetu nasikia kuna ugonjwa wa changamoto ya upumuaji...ni shida