Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Nimeona milioni hapo kwenye Temple Run nimechoka kabisa mana mie ni mwendo wa 10000 tuKulikoni?
Tunajitahidi kutokukata tamaa ila hali inavyoendelea ndio inakatisha tamaa.Umekata tamaa mpendwa
AmeenTunajitahidi kutokukata tamaa ila hali inavyoendelea ndio inakatisha tamaa.
Tutakaa muda gani bila dawa wala chanjo!??inasikitisha sana mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
π πMuwe na Ijumaa njema yenye baraka